MVB Jr
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 489
- 1,556
Hiyo like umeiona?
Kama watoto....!😀😀😀😀
Sijui tu userious ulitokea wapi jaman..!
Hiyo like umeiona?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahaha anasema ye kazaliwa kwenye ugaidi.....
😛Makapuku wakosome
Hahahahaha loooh, likes jamani raha tupuKadharau nusu kijiko ndio dawa yako
🙂I have come to learn that I am not perfect, nor will I ever be. and perfect is too hard. I'm perfectly fine with being perfectly imperfect.
Shemeji. Unakumbuka kuwa hujatoa mahari? Unafikiri tuliofanya hiyo kazi ya kumfunda mtoto mpaka akafundika tulifanya kazi ya bure?Hahah kweli kabisa ila yupo na mtoto ambaye wengi wanamtaka mtoto wa kisukuma mtoto aliefundwa akafundika
😀Makapuku forum wajipange
NiceThere are some people who always seem angry and continuously look for conflict. Walk away; the battle they are fighting isn't with you, it is with themselves.
It is coming from my heart...!Achana kabisa na huo wimbo huwa nikiwa nimeumia moyo nikisikiliza huo wimbo nafarijika sana
Duh! Inaonekana unapenda sana mabinti wa Kisukuma. Dadangu Nsamaka naye kidogo umdake. Baby S naye umekomaa. Lakini sikulaumu mkuu. They are just the best. Kazana mpaka udake mmojawapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utamfanya avunjwe miguu na kutobolewa macho kisa mwanamke[emoji3] [emoji3] mwambie asalim amri atafute mwingine[emoji3] [emoji3]
It is coming from my heart...!a million times........
Hakika 😛Tumechoka kupewa likes za masumango...
Te te te mwenye dada hakosi shemejiDuh! Inaonekana unapenda sana mabinti wa Kisukuma. Dadangu Nsamaka naye kidogo umdake. Baby S naye umekomaa. Lakini sikulaumu mkuu. They are just the best. Kazana mpaka udake mmojawapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Exactly 😳Never stop to like.
😳Never assume every critic is a hater. Not everyone is hating on you... Somebody is telling you the TRUTH.
Kwa nini usiwaheshimu wazazi wako?
Kwa nini usimpende jirani yako?
Kwa nini uue?
Kwa nini usimpende Mungu wako?
Maswali magumu lakini wengi wanaweza toa majibu MapesiKwa nini umtamani mke wa jirani yako?
umeona eeeNice
TrueThe only route to success is hard work. If you didn't work hard I don't think it counts as success
Kabisaaaa !Te te te mwenye dada hakosi shemeji