Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

BZ0MI5nF1-N.jpg
 
hakuna mwingine anaye uvuruga huu ulimwengu zaidi ya wanadamu wenyewe..!
Mwanadamu ni kiumbe mtata mno. Imagine sasa kajirundikia masilaha ambayo kimsingi yanaweza kumwangamiza na kumtowesha kabisa katika kasayari haka kazuri alikopewa na Muumba. Ajabu ni kwamba hana pengine pa kukimbilia. Let that sink in for a second my friend......
 
Mnanong'ona eeeeh[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] endeleeeni kuogopa hivyo hivyo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Umefanikiwa kunichorea taswira kichwani mwangu laivu kabisa....
 
Back
Top Bottom