Huwa najiuliza kwa nini Mungu ilimpendeza nikazaliwa kwenye Ardhi ya Tanzani..!
Nikisema nalala ni kweli nalala.......
Nikisema nikatembelee ndugu zangu ni kwa ujasiri wote......
Nikisema nikasali, nasali bila chembe ya woga....
Nikisema nikafanye kazi, mpaka shati naeza vua..!
Nikissema nikasema nikatanue, hofu sina hata chembe.....!
Nakadhalikaaaaaaaaaaaaaaaaaa............ wakuu mtamalizia...........!
Ni kwa sababu ya amani tuliyokilimiwa na Mwenyezi Mungu, So guys tuwe wenye kushukuru kwa bahati hii ya upendeleo....! Na chembe zote za kutaka kuondosha hii tunu tuzipinge bila kusahau kumsihi Mungu atuepushe........!