Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaahahahah. Shemeji umenifanya nicheke kwanguvu mbele za watu
Yawezekana wewe ni mtu usiyejulikana shemeji. Tatizo wanaku-underestimate. Ooh wakusoma yupo kabanwa na mitihani, mara denti hivi kuja kushtuka wanapotea mmoja mmoja. Mchina karudi lakini hayuko sawa kivile. Big Baba mpaka leo ziiii. Moudgulf naye naona kaamua kutest zali....Mhhhh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…