mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]😀😀😀😀😀.
Kama ni hivyo😀
Kibarua kuota mbawa kinakuhusu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]😀😀😀😀😀.
Kama ni hivyo😀
Kibarua kuota mbawa kinakuhusu
Huyu ndiye Carba? Halafu mtu anapotea na kwenda kwenye ipielo? Real?![]()
Carba nakusalimia tu kwambali.
Hahahaahahahah. Shemeji umenifanya nicheke kwanguvu mbele za watuNaukumbuka sana. Ile vita Trump na dogo wa kiduku cha mtoto. Baada ya hapo Mchina akatekwa. Big Baba naye akajifaragua faragua lakini naye akaishia kupotea jumla. Uniq aisee kiboko!
Nimekusalimia bhana,naaxhaje kukusalimia shemeji?Ijumaa hiyo inaishilia. Ni wikiendi. Sikuona salamu yako. Ushanizoesha vibaya. Uwe na wikiendi njema...Kesho ipieloo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji12][emoji12][emoji12]ndo umekosea hadi ulaweka ya babe?Usibadili nilisha kuambia nitaweka picha zako
UnasemaKITAMU HAKIONJWI
Sijambo yego,sijui weweHujambo carbamazepine! Weekend niaje? [emoji1][emoji124][emoji124]
Huyu mpare ni hatari[emoji23]Naukumbuka sana. Ile vita Trump na dogo wa kiduku cha mtoto. Baada ya hapo Mchina akatekwa. Big Baba naye akajifaragua faragua lakini naye akaishia kupotea jumla. Uniq aisee kiboko!
Hapo pazuri kwa kuishi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzima wewe?I love you so much
Wapo wanalisongesha. Wameshibana sana wale sema tu ni wachache. Huwa naenda huko mara moja moja. Kuna upendo huko pia na pako shwari.Makapuku hoi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyie watu nyieHuyu ndiye Carba? Halafu mtu anapotea na kwenda kwenye ipielo? Real?
Mpaka ka kimbunga category 4 kakipita hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo pazuri kwa kuishi[emoji23] [emoji23] [emoji23]