Kijana hana adabu kabisa huyuNa full kuvunja ndoa za watu
Kijana muharibifu wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Mzuri sana
I love you so much[emoji23][emoji23][emoji23]eeeh?
Ufukuaji makaburi hautamuacha mtu salama[emoji23][emoji23][emoji23]
Hukusikia katika waliofariki wa kwanza ni muonjaji mkuu wa ile pombe ?Unaongelea nini mkuu? Funguka tu usiogope!
Nimeona picha ya babe S tu[emoji23][emoji23]Carba uliona picha yako??
Hasira tena. No! It's only a matter of principle sir. Lakini ndo mwanao imetokea basi utafanya nini? Itabidi tu upambane na hali yako!Nakubali wewe una hasira kali. Lakini hata huko tatizo hilo lipo. Wanaoana wenyewe kwa wenyewe. Wao wanaita us....
Kweli mkuuNgada ni tishio.
Wengi wameteketea
Jamani[emoji134][emoji134][emoji134]Mtoto Carba huyo
Yap asante mkuu kwa taarifaAnajihusisha sana na Masuala ya Luninga.
Kama kawaida yake anaendeleza kukuza Vipaji vya Madogo wanaochipukia, kiLuninga Luninga
Yap asante mkuu kwa taarifaAnajihusisha sana na Masuala ya Luninga.
Kama kawaida yake anaendeleza kukuza Vipaji vya Madogo wanaochipukia, kiLuninga Luninga
Nilikumiss kweli uniqCarba umenimiss eeeee. Umeona kapicha kako niliko kapost