carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23]eeeh?Hii post inaumiza Sana
Ufukuaji makaburi hautamuacha mtu salama[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]eeeh?Hii post inaumiza Sana
Embu mwambie mkuu hilo naona anakupa masharti magumu kama mganga wa kienyejiHilo shart la Mzee wa Liver kuja akiimba huo wimbo ni gumu kwa kweli! Ni sawa na mimi uniambie sasa hivi kukutafutia mzizi wa jiwe nikiupata nikuletee! Poa lakini, siku hesabu zangu za hawa dagaa zikikaa sawa, ntakuzukia tu hapo! [emoji1]
Nakubali wewe una hasira kali. Lakini hata huko tatizo hilo lipo. Wanaoana wenyewe kwa wenyewe. Wao wanaita us....Sawa tu !!!
Nsamaka kakushinda?Mfikishie huo ujumbe mwambie kuoa mke mzuri ni kijitafutia matatizo buree[emoji3] [emoji3] [emoji3] imefika mahali heri nitumie mbinu za medani ili nikupapachue mikononi mwake[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vigezo na masharti kuzingatiwa,welcome ukiyatimiza
Eenheee naongeza jingine ni cole kurudi laivu kucheki epielo bila ruhusa ya carba ukifanikiwa hata usipouza dagaa ukuje tu hahahaha
BAK pole na ban!😛😛😛😛😛😛😛😛
Rip Aaliyah nimeangalia sana mkuuTamu sana.
Aaliyah, DMX, Antony Anderson ndani.
Kiongozi umeshawahi kuiangalia hii Filamu?
Nambie MwifwaCc carbamazepine