myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
siasa zitaharibu huu uzi,,,Wazalendo itikieni[emoji5] [emoji5] [emoji5]
siasa zitaharibu huu uzi,,,Wazalendo itikieni[emoji5] [emoji5] [emoji5]
Aaah wapi, kama ni dereva sawa lakini kuna mtu anatoa amri njia ya kupita, unamjua wewe?Mimi ndie dereva wa Nissan nyeupe sasa
Mwambie ajipange, vinginevyo babeS ananyakuliwa mchana kweupe. Uvumilivu umenishinda, haiwezekani nishindwe vita ya mapenzi na mwanafunzi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Cc carbamazepineMkuu tupia post huko like machine nipo katika ubora wangu
ThubutuuuuuWazalendo itikieni[emoji5] [emoji5] [emoji5]
Jaribu uoneeMi siyo mchina, ukija kwangu ujiangalie. Nitamnyakua mrembo huyo mchana mchana subiri tu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Toka ukanda wa Gaza, makao makuu ya ujasusi, ugaidi. Hizo ni taaluma, hata kwenye visa vya mtaani tunazitumia kuendeshea maisha. Nitaanza na wewe[emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121]Achana nae huyo mtu mwenyewe anaitwa Moud ghuba
[emoji16][emoji16] ho chi minh yu wapi!?Mwambie ajipange, vinginevyo babeS ananyakuliwa mchana kweupe. Uvumilivu umenishinda, haiwezekani nishindwe vita ya mapenzi na mwanafunzi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Unaguna, "mwanzo wa ngoma ni lele" ndo anaondoka hivyo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mhhhh
Jambo unaambiwa la siri usawa huu kwa nini nisiogope....[emoji39]Unaogopa nini weye?
Wazee wa likes na mimi nataka.
Siwezi kujaribu, mi nafanya kweli, kweli tupu. Kujaribu ni kuogopa. Nimekufanyia uchunguzi nikagundua wewe ni mweupe[emoji3] [emoji3] [emoji3]Jaribu uonee
Uniq kamnywesha sumu[emoji3] [emoji3][emoji16][emoji16] ho chi minh yu wapi!?
Mambo mazuri huanzia kwenye siriJambo unaambiwa la siri usawa huu kwa nini nisiogope....[emoji39]
[emoji16][emoji16][emoji16] namimi nimeona....Achana nae huyo mtu mwenyewe anaitwa Moud ghuba
Karibu tena! We r happy to......View attachment 603268
You people are so sweet, yaani nimepata malikes ka mvua vile.
babe S, myoyambendi, SHIMBA YA BUYENZE, thatonegAl, Numbisa, uniq na Cole Williams thanks so much guys.
Much love.
Hahah! Mweupeee!????? Wa rangi!?Siwezi kujaribu, mi nafanya kweli, kweli tupu. Kujaribu ni kuogopa. Nimekufanyia uchunguzi nikagundua wewe ni mweupe[emoji3] [emoji3] [emoji3]