moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Dada mmoja hivi, na hajafika hapa, akifika moto utawaka hapa.Hahahaha...nani huyo... !?
Dada mmoja hivi, na hajafika hapa, akifika moto utawaka hapa.Hahahaha...nani huyo... !?
Mtafute Mchina akuelezeeeKuishi na mtoto mzuri ni kujitafutia jakamoyo, tulia tulonge na shemeji yetu kipenzi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
TaratibuShemeji yetu twampenda wallah
Mkuu ni nyimbo mojawapo bora kabisa ya msondo ngomaIna upekee gani?
Ho Chi Minh nae alisema hivyo hivyoMikwara yako wala hainitishi,
Nipooo[emoji16][emoji16]! Uniq ameenda wapi!?
Karibu mkuuPoaa poaa mkuu...long time humu nilipotea majukumu ya hapa na pale
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Nacheka kwa dharaaaaaaaaaaauuu!
Cheki pm mkuuLake Zone FOREX TEAM
Jifunze Forex km uko kanda ya ziwa!
Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
Mimi ndie dereva wa Nissan nyeupe sasaUniq unafanya kosa LA kiufundi kumfatilia na kumlinda mrembo babeS. Muamini ili ajiamini. Mpe uhuru wake angalau aje jukwaani akiwa huru. Vinginevyo Nissan nyeupe inakuhusu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mi siyo mchina, ukija kwangu ujiangalie. Nitamnyakua mrembo huyo mchana mchana subiri tu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mtafute Mchina akuelezeee
Wazalendo itikieni[emoji5] [emoji5] [emoji5]Makonda oyeeeeeeeeeeeeee
[emoji137]Kwa ambaye hajapata notification ya kichwa kichafu kuto like post yake anikumbushe.
Achana nae huyo mtu mwenyewe anaitwa Moud ghubaHahahah anakuja amesema! ........kunipapachua itakua ngumu sana..
Duuu mkuu unafukua makaburi weye[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
MhhhhNina maneno ya kukwambia, tafuta faragha[emoji3] [emoji3] [emoji3] hapa kuna shilawadu
Cc: JembekilloHuyu aliyeanzisha huu uzi atakuwa Freemason ...