Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naam Kiongozi.

Kundi lao linaitwa A Tribe called Quest.

Alietutoka ni mmoja wa Wasanii kwenye Kundi hilo ambae kwa jina anaitwa Phife Dawg (Ndie Kichwa chao).

Kiongozi ulisikia na PRODIGY (wa MOBB DEEP) hatuko nae tena.

Nilisahau kukuambia siku niliyowataja Heavy D, Nate Dogg na Phife Dawg.

Yaani PRODIGY hakunijia haraka haraka
Aiseee hivi Mc Hammer yupo Na
Naught by nature
 
PRODIGY na Mwanae HAVOC.



Prodigy-Mobb-Deep-portrait-a-billboard-1548.jpg
Havoc hatari sana
 
Bageshi. Kugombaniwa lakini raha eeh! Unajisikiaje? [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Hivi shemeji wakumbuka ule mtanange wa mchina mweusi na kina big baba juu ya babe s?
 
Back
Top Bottom