Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Angalia rangi ya kapicha kako ka mdomo na ya Babe S utakuwa uamsingizia[emoji12][emoji12][emoji12]ndo umekosea hadi ulaweka ya babe?
DuuHuyu mpare ni hatari[emoji23]
Upo wewe weka comments please empty sio....
Wewe[emoji23][emoji23]Angalia rangi ya kapicha kako ka mdomo na ya Babe S utakuwa uamsingizia
Muwe makini kama vile huwa mnalazimishwa kuwapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*Statistics from banks in Tanzania show that men withdraw a lot on Fridays while women deposit a lot on Mondays*
I thought you should know [emoji22][emoji23][emoji23] tuwe Makini leo
Mkuu kweli kabisaPesa sio furaha, furaha ya kweli ni kutoka moyoni.
Kitendo cha kuamka salama ni furaha tosha moyoni
Ukifika huko wasalime waambie ipo siku tutaomba mechi na wao waje kwetu watoe like na siai tukatoe like kwaoWapo wanalisongesha. Wameshibana sana wale sema tu ni wachache. Huwa naenda huko mara moja moja. Kuna upendo huko pia na pako shwari.
EveningMorning
YapNi muda wa kuelekea sehemu mbalimbali kutafuta riziki ya halali
Kabisa mkuuTujiepushe na vitu vya haramu
AMUN RATujiepushe na uchoyo
Tujiepushe na dhulma
Ngoja aje nasikia huko Tukuyu leo baridi sana asije akakimbilia chooni[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyie watu nyie
Cc:andjul ukuje uone picha yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]