Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yawezekana wewe ni mtu usiyejulikana shemeji. Tatizo wanaku-underestimate. Ooh wakusoma yupo kabanwa na mitihani, mara denti hivi kuja kushtuka wanapotea mmoja mmoja. Mchina karudi lakini hayuko sawa kivile. Big Baba mpaka leo ziiii. Moudgulf naye naona kaamua kutest zali....Mhhhh...
Na yeye namuonea huruma atapotea kabisa.
 
Back
Top Bottom