mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu mkuu
Mkuu umekuja kivingine kabisa
Habari za asbh babe sMlale vyema...
AMUN RAMungu anazidi kutenda miujiza.Nakushuru sana[emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kameona Cole hayupo sasa kamepata upenyo. Eti an unconditional hug. Hakajui kuwa shemeji mtu nipo. Kashindwe na kalegee!
Habari za asbh mkuuBan huwezi kunipa hata iweje.
Mwenyewe na kamin kako na mzigo wako wa kilo 50
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unajua kujifaragua wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi mchina mweusi aje akukoseshe amani kidogo
Nzuri mzee wa liver! Umeamkaje!?Habari za asbh babe s
Kk naye amekwenda MogadishuKichwa Kichafu ndio umeamua kuondoka bila kuniaga??[emoji19][emoji19]
Sijambo mzee wa liver....mzima wewe?Hujambo consuela wa alibakari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nzuri kabisa Muzee ya LivepoolHabari za asbh mkuu
MhhhWazima humu!?
Mnapeana dedications na mimi nawaona halafu unasema kakusaidia ku upload?[emoji15][emoji15]
Andaeitini huo ni uchochezi na hizi kesi za uchochezi kupata dhamana ni ngumuHebu fanya maamuzi magumu aisee! [emoji1][emoji42][emoji124][emoji124]