Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1507146649048.jpg
 
Asante shemeji. Yaani huyo dogo ni ishu ya kusikitisha sana. Na vijijini huko imani za kishirikina tena ikawa mambo meengi. Nilipigana kufa na kupona kuhakikisha kuwa kila mtu anajua kuwa kilichomuua ni rabies na hajachukuliwa msukule lakini kijiji karibu chote hawakuniamini. Sad !!!
Hizi imani ndio zinazotupoteza kwakweli na huwa hatujifunzi.
 
Maombi yenu.Ahsante kwa SHIMBA YA BUYENZE,maombi yake yanajibu kwa wakati.Mungu akazidi kuwabariki[emoji120] [emoji120]
Asante ndugu yangu. Historia fupi uliyonipa na unayoyatenda vilinionyesha ubinadamu wako uliotukuka. Japo kimsingi ni wajibu wako lakini utalipwa zaidi na zaidi. Siku ile kama nilikukwaza nisamahe....
 
Back
Top Bottom