Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
[emoji15][emoji848][emoji848]Kuna foleni[emoji6]
[emoji15][emoji848][emoji848]Kuna foleni[emoji6]
HahahahTena made in china[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatari
Mbona mimi sina.Naja[emoji125] [emoji125] [emoji125]nije panda milima ya kwenu,ila si nitatoka vigimbi lol[emoji23]
Maombi yenu.Ahsante kwa SHIMBA YA BUYENZE,maombi yake yanajibu kwa wakati.Mungu akazidi kuwabariki[emoji120] [emoji120]Amin[emoji120][emoji120][emoji120]na aendelee kutenda
Yaani hapa moyo wa baridiii baada ya kukuona,hadi kausingizi kameanza kuja[emoji4][emoji4]It's a long story brother...
Kameona Cole hayupo sasa kamepata upenyo. Eti an unconditional hug. Hakajui kuwa shemeji mtu nipo. Kashindwe na kalegee!
Wewe si unajidai unajua kujificha. Subiri niweke picha zako hapaWapi huko?
Amin[emoji120][emoji120],Mungu awabariki piaMaombi yenu.Ahsante kwa SHIMBA YA BUYENZE,maombi yake yanajibu kwa wakati.Mungu akazidi kuwabariki[emoji120] [emoji120]
Huwezi viona mana tangu uko mdogo unapanda milimaMbona mimi sina.
Njema zakoZa mida!?
Asante shemeji. Yaani huyo dogo ni ishu ya kusikitisha sana. Na vijijini huko imani za kishirikina tena ikawa mambo meengi. Nilipigana kufa na kupona kuhakikisha kuwa kila mtu anajua kuwa kilichomuua ni rabies na hajachukuliwa msukule lakini kijiji karibu chote hawakuniamini. Sad !!!
Na anakufuta machozi usipotarajia.Mungu ni wa ajabu sanaMungu wetu ni mwema. Always [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]