Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-10-04-22-48-22.png
 
Asante ndugu yangu. Historia fupi uliyonipa na unayoyatenda vilinionyesha ubinadamu wako uliotukuka. Japo kimsingi ni wajibu wako lakini utalipwa zaidi na zaidi. Siku ile kama nilikukwaza nisamahe....
Nashukuru kwa maombi yako,hakika yanatenda,tena kwa wakati.Sikuwahi na hautakuja niona nimekwazika nikiwa hapa,sema tu asubuhi yake nikawa nasafari ya 1,470kms na mzee.Samahani kwa yaliyo pita...tazama tumekuwa wapya sasa
 
Mimi nafurahi zaidi kukuona ni venye hujui tu.
Hizi baraka zikawe mara2 kwako[emoji120][emoji120]
Natamani nikung'ate sikio,sijui nikuache[emoji15][emoji15][emoji15]hata sielewi[emoji19][emoji19]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najua lipo linalo kuperemba hadi unapata kiungulia.Wabaya wangu watakuwa walijiinua kadri walivyo weza...
 
Back
Top Bottom