Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1507148553951.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu nipe vionjo...
Kwanza,moudgulf yupo?nsamaka? Bob12? Yegomasika?
Haya, lete kionjo mama
Bob sijui katekwa anamuda sana hajaonekana
Yego yupo,hao wengine sasa[emoji23][emoji23][emoji23]ubuyu wao nitakupa kesho maana itabidi nikununulie mijibapa kama mi3 hivi na kushushia
 
Bob sijui katekwa anamuda sana hajaonekana
Yego yupo,hao wengine sasa[emoji23][emoji23][emoji23]ubuyu wao nitakupa kesho maana itabidi nikununulie mijibapa kama mi3 hivi na kushushia
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] asiye jua maana haambiwi maana (ajabu mimi nimejua,ntakufa kwa puresha mimi jamani) moudgulf kesha haribu eeeh?
 
Back
Top Bottom