Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ukipata nafasi we nambie tu[emoji4][emoji4]Nitaangalia kama nafasi nitapata kesho
Na kwako pia[emoji4]Nakutakia usiku mwema mama
Tumekosa nini tena jamani mpaka tununiwe?Ni bora muombane msamaha hapahapa kabla sijawanunia nyote[emoji19][emoji19]
Ipieloo?Halafu sijui hata yuko wapi[emoji22][emoji22]
KK alipotishia kumchumbia Viv naona ilikuwa too much Bob akaanza kuadimika hapa...Bob sijui katekwa anamuda sana hajaonekana
Yego yupo,hao wengine sasa[emoji23][emoji23][emoji23]ubuyu wao nitakupa kesho maana itabidi nikununulie mijibapa kama mi3 hivi na kushushia
[emoji99] [emoji99] [emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42]Kichwa Kichafu ndio umeamua kuondoka bila kuniaga??[emoji19][emoji19]