uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,086
NimekukamataWewe[emoji23][emoji23]
NimekukamataWewe[emoji23][emoji23]
Mkuu niajeNzuri kabisa Muzee ya Livepool
HahahahahaAndaeitini huo ni uchochezi na hizi kesi za uchochezi kupata dhamana ni ngumu
Hahahaha[emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️...kumbe mzee mwenye zizi yupo? Kimenuka...[emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Pamoja mkuuI see everything
I remember everything
I am everywhere just a matter of time
Bado sana[emoji23][emoji23][emoji23]Nimekukamata
Kula salamu ya likes kabla ya yoteNakusalimuni humu ndani
Mkuu niajeMorning
Kabisa pale ndio watu tulipoanza kupendana na kuwa karibu japo hatujawahi kuonana.Yaani kile kipindi kilikuwa hatari,vita baada ya vita,KK anatembea na pete zake za visoda mkononi[emoji23][emoji23][emoji23]
Those were the good days
Ila hii pia ulisema inafanana fanana na wewe. Sasa Uniq naye katuchanganya sasa kwa sababu picha yake ni kibonge na inavyoonekana tv ya chogo original. Wewe huwa unasema kuwa upo kinyume na vyote hivyo. Watazamaji twachanganyikiwa [emoji23][emoji23][emoji23]!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyie watu nyie
Cc:andjul ukuje uone picha yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]