carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hakika,najivunia kuwa katika uzi huuKabisa pale ndio watu tulipoanza kupendana na kuwa karibu japo hatujawahi kuonana.
Hakika,najivunia kuwa katika uzi huuKabisa pale ndio watu tulipoanza kupendana na kuwa karibu japo hatujawahi kuonana.
Tumetoka mbali jamani. Ndiyo maana hata ikitokea tukakwazana inabidi tusameheane tu kwa sababu hakuna namna.....Yaani kile kipindi kilikuwa hatari,vita baada ya vita,KK anatembea na pete zake za visoda mkononi[emoji23][emoji23][emoji23]
Those were the good days
Shemeji achana na maneno ya uniq amini ninachosema[emoji23]Ila hii pia ulisema inafanana fanana na wewe. Sasa Uniq naye katuchanganya sasa kwa sababu picha yake ni kibonge na inavyoonekana tv ya chogo original. Wewe huwa unasema kuwa upo kinyume na vyote hivyo. Watazamaji twachanganyikiwa [emoji23][emoji23][emoji23]!!!
![]()
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha tusubiri muda utasema tuHahaha. Wewe ngoja nina strong feelings kuwa lazima tunafahamiana. Ila muda utaongea.
Nimekupata !!!Shemeji achana na maneno ya uniq amini ninachosema[emoji23]
Nawaza tu akifikia yale makaburi yaleeeee,si patakuwa hapatoshi humu[emoji134][emoji134]We wa kubadili avatar.
Mbona unafukua makaburi ya zombie mie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha SYB hiyo niliyotuma ni yake kwa 100%
Kumbe upo?Poa,kwema lkn?