Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-10-06-00-19-13.png
 
Tumetoka mbali jamani. Ndiyo maana hata ikitokea tukakwazana inabidi tusameheane tu kwa sababu hakuna namna.....

KK nikimkumbuka enzi zake ilikuwa kazi kweli kweli. Kila siku kugonganisha magari. Sammyluv akawa anamgombania na QUIGLEY akapigwa chini. Baadaye akaja Kejo (sina uhakika na jina). Shemeji we sijui kama ulipona [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️.
123f22be517f67e930a00d3fb9856527.jpg

Ilikuwa burudani kwa kweli. Ila funga kazi ilikuwa ni vita ya kumgombania Baby S. Haitakaa itokee tena !!!
Acha tu shemeji zilikuwa siku za furaha sana kipindi kile,sita kaa nisahau uzi huu,maana umenipatia marafiki tayari[emoji4]
 
Back
Top Bottom