Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

images.png
 
Ilikuwa ifanyike Masaki. Mzee wa Liver ndo alitukwamisha kwa sababu hakutoa rukhsa mapema. Mbagala kwangu walikataa eti makelele. ISIS akasema majirani zake Warusi wakifakamia Vodka huwa wanapiga makelele sana ila ni makelele ya kistaarabu siyo kama ya Mbagala.
There you are bro mzee wa liver katukatili kweli. Mzee wa liver Mungu anakuona kwa kweli
 
Back
Top Bottom