myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Upendo mwingi
Ntakuja kuchukua leo.Jirani mpenzi, ile zawadi vipi
Km hazifikirishi, kilichomleta huku yy mwenye kufikiri ni nn?Tufikirishe kiongozi,[emoji1360][emoji1360][emoji1360][emoji1360]
Hujambo jirani mpenziKm hazifikirishi, kilichomleta huku yy mwenye kufikiri ni nn?
Sijambo jirani yangu.Hujambo jirani mpenzi
Gaza ni mahali salama, babeS ataishi tuNakusubiria mzee wa ukanda wagaza. Umeona kabisa Babe S ni wakukaa gaza kweli??
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] maendeleo hayawezi kwama kwa sababu ya Uzi huu. Ni kosa kutoroka kazi kukimbilia hapa, kisha unaleta malalamiko kuwa maisha magumu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti jina kitaa. Kuzorotesha shughuli za maendeleo tu huu uzi hakuna cho chote. Hii ni ngada ya likes kabisa yaani...
Jitahidi, lakini mpaka uje ufike hapa tulipo utahitaji miezi kadhaa. Hata hivyo usikate tamaa pambana tu. Naamini mpaka uje ufike hapa tulipo utakuwa umeelimika vya kutoshaNiko page ya 196
Usikuni mwema
Kwema kiongozi, habari yakoKwema mzee wa TMK