Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Me too astoundedWhy??
Me too astoundedWhy??
Cheka tu, sifa zitakuponzaHahahaahahahah. Shemeji umenifanya nicheke kwanguvu mbele za watu
We wa makaburiKabisaa
Unafikiri ni kwa nini huyo mtoto mzuri aliwapiga chini nyote watatu na kuangukia mikononi mwa denti? Na inavyoonekana kazama kabisa kilindini haoni hasikii. Kuna nini alichonacho huyu denti ambacho nyinyi wahenga hamna? Uchambuzi wenu inabidi uanzie hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] haiwezekani mwanfunzi aishi na mtoto mzuri tumchekee, kitaeleweka tu
Endeleeni kumpotosha, nitampoteza mazina huyo[emoji3] [emoji3] [emoji3]Huyu mpare ni hatari[emoji23]
Karembo kazuri kamalaika ketu wenyewe....
Nakusubiria mzee wa ukanda wagaza. Umeona kabisa Babe S ni wakukaa gaza kweli??Cheka tu, sifa zitakuponza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti jina kitaa. Kuzorotesha shughuli za maendeleo tu huu uzi hakuna cho chote. Hii ni ngada ya likes kabisa yaani...Gonga likes, pata likes ujenge jina kitaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Karibu SYBUnafikiri ni kwa nini huyo mtoto mzuri aliwapiga chini nyote watatu na kuangukia mikononi mwa denti? Na inavyoonekana kazama kabisa kilindini haoni hasikii. Kuna nini alichonacho huyu denti ambacho nyinyi wahenga hamna? Uchambuzi wenu inabidi uanzie hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]