Makaburi gani hayoKuna yale makaburi yale naomba asijeyafikia maana hali itakuwa mbaya humu[emoji6][emoji23][emoji23]
Hata MimiNahitaji like
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hivi selection za shule bado[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu mbona mnapotea sana ndio mnapiga mapindi ya pre form one au?
Nawasalimia,habari zenu bhanaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ulikuwa hujui 😛Hivi kumbe kweli mnatoa like bureeeee
Why??Shark no fisher
Taratibu, nsamaka niachie mwenyeweNsamaka kakushinda?
Polee kwa kuvimbiwa like 😛Ona mlivyovimbewa likesView attachment 525233 ila mtoa mada hata hana like 100. Gongeni likes za kutosha kwa mwenye uzi