Acha ushabiki wewe, nsamaka ni rafiki yangu mpenziHahahhahhahhahhahhahahha asante sana Shemeji
ChukuaNipen like
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Nimeyapenda
Ole ole ole wa ko [emoji6] [emoji6] [emoji6]Hilo mbona nalijua[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu ilibaki kidogooo tu niharibu kwa Jose[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] haiwezekani mwanfunzi aishi na mtoto mzuri tumchekee, kitaeleweka tuNa full kuvunja ndoa za watu
Kijana muharibifu wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimejaa teleKumbe upo?
Hahaha yule ni jirani yangu mpenziNsamaka karibu mama. Muoudgulf alikuwa analeta shida hapa
22:0119:40
Lazima uonje kazi ya PLO, yale uliyokuwa unayaona kwenye TV, watu watayaona kukuhusuKijana hana adabu kabisa huyu
Hiyo hapo 😛Mbona Mimi mpaka sasa sijapewa hizo Likes? Au mnapeana kwa kujuana?
KabisaaRaha zaidi ni wewe ukilike kwa ndugu yo
Maamuzi magumu hayo yatakuwa na hasara kubwa na faida kidogo. Nakaona kaandaeitini tayari kamefurahi balaa...Abeee[emoji85] [emoji85]