Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Bloom not broom
Usije ukawa kama Trump vs Kiduku. Mikwara mipya kila kukicha ekisheni zero....Endeleeni kumpotosha, nitampoteza mazina huyo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hao nyoka hawatakupa nafasi uishi nao[emoji3] [emoji3]Hapo pazuri kwa kuishi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wana upendo kama wa hapa? Mi huwa naenda kuwasalimu lakini sijuagi undani waoWapo wanalisongesha. Wameshibana sana wale sema tu ni wachache. Huwa naenda huko mara moja moja. Kuna upendo huko pia na pako shwari.