Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti jina kitaa. Kuzorotesha shughuli za maendeleo tu huu uzi hakuna cho chote. Hii ni ngada ya likes kabisa yaani...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] maendeleo hayawezi kwama kwa sababu ya Uzi huu. Ni kosa kutoroka kazi kukimbilia hapa, kisha unaleta malalamiko kuwa maisha magumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…