Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

da34fa6d587b07a8f350b401ad1bc9b8.jpg
[emoji39] [emoji39]
 
Ina maana kwamba ni majira ya wanyama hao (deers) kutimiza wajibu wao wa kuhakikisha kuwa kizazi kinaendelea hivyo madereva wawe waangalifu. Izingatiwe kuwa wanyama hawa hutimiza wajibu huu mtakatifu mara moja tu kwa mwaka na ni kwa lengo moja tu tukufu - kuhakikisha kuwa kizazi chao kinaendelea. Siyo kama binadamu aliyeligeuza tendo hili na kulifanya kuwa starehe yake ya kwanza....
 
Bado kuna habari kinga haimalizi hamu bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
Nilikua na ndoto ya kuwa suka wa magari magari makubwa, wakati na umri wa kina justin briber, leo nimekua niko live na maisha, nafunga urafiki na umaskin kabisa...
To be continue...

Made by Gentries ft Young D & Belle 9
 
Back
Top Bottom