Will you marry me?
Nawe toa likesNipe likes
Shemeji. Nitaanzisha kampeni hapa ya kutaka urudishe avatar za zamani. Hii haikubaliki kabisa aisee. Sasa kutuwekea haka kabinti kachokleti kenye utapiamlo ndo nini sasa? Tumekukosea nini?Jirani kwema[emoji23]
Tayari,umeona?Nawe toa likes
Huyu metador alipona na kustaafu kabisa huu mchezo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivyo vidole na macho si mchezo
Napenda sana kuchora piko tena upate mtu anayejua kuchora sasa
Mmh!hii picha shemeji[emoji15][emoji15][emoji15]
Vitamu sanaHivyo vidole na macho si mchezo
Na hasa Ukiwa na rangi kidogoNapenda sana kuchora piko tena upate mtu anayejua kuchora sasa
Brother..[emoji3][emoji3][emoji3]
Si mchezoVitamu sana
Unapenda kuchora au kuchorwa?Napenda sana kuchora piko tena upate mtu anayejua kuchora sasa
Aiseeh!michezo mingine ni hatariHuyu metador alipona na kustaafu kabisa huu mchezo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KabisaaNa hasa Ukiwa na rangi kidogo