Napenda kuchorwa,hata sijui kwakweli sijawahi sikiaUnapenda kuchora au kuchorwa?
Kuna mada nilisoma mahali eti kuna michoro mingine inakaribisha majini/mapepo. Ni kweli au ni kutisha watu tu?
Samahani kama imekutisha. Hawa jamaa ni katili sana. Wanayachoma mikuki na kuyawasha moto haya madume ya ng'ombe ili yawe na hasira zaidi na hatimaye kuyaua kwa mateso makubwa. Huyu metador alipopata hii zali watu wengi na hasa wapigania haki za wanyama walifurahi. Alipona japo alipoteza nusu ya ulimi na hawezi kuongea tena...Na aliritaya kabisa !!!Mmh!hii picha shemeji[emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji23][emoji23]shemeji bhana...Shemeji. Nitaanzisha kampeni hapa ya kutaka urudishe avatar za zamani. Hii haikubaliki kabisa aisee. Sasa kutuwekea haka kabinti kachokleti kenye utapiamlo ndo nini sasa? Tumekukosea nini?
![]()
Obviously we shemeji ni cheupe eeh?Kabisaa
Paaap! Makapuku watatu tumekutana huku! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
Yah hasa kwa mwanamke Ndio Mahala pakeWaarabu kwa mapambo dah !!!
SanteeLove you
Tena saaaanaaaa kabisaAiseeh!michezo mingine ni hatari
Kama kweli utafanya hivyo, I will be more than humbled . Asante sana shemeji !!![emoji23][emoji23]shemeji bhana...
Halafu huwezi amini nilikuwa naitafuta kwa gallery yangu siioni,asante acha niirudishe kwa heshima yako[emoji4][emoji4][emoji4]
ThanksYou look so beautiful lady!
Will you marry me?Thanks