Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tujifunze kwa watoto kwamba tunapopita katika kipindi kigumu, sio kipindi cha kulalamika na kubaki kwenye hali ya kuumia kila siku. Kipindi kama hicho ni wakati mzuri wa kuangalia wapi umekosea na kujifunza na uendelee mbele. Usibaki kwenye maumivu kwa muda mwingi kwa sababu maisha ni mafupi sana rafiki yangu, jifunze na endelea mbele.
 
Kuishi ni leo na sio kesho rafiki yangu. Mamabo unayofanya leo ndo yanaonyesha utakuwa wapi kesho.Mafanikio ni muunganiko wa vitu vidogovidogo unavyofanya kila siku. Kama unataka kufanikiwa kuwa na mpango wa kufanya kitu kila siku na sio kusema utafanya kesho.
 
Back
Top Bottom