carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Dogo leo mbona mpole hivyo??[emoji15][emoji15]We namakaburi yako hayo si poa kabisa.
Dogo leo mbona mpole hivyo??[emoji15][emoji15]We namakaburi yako hayo si poa kabisa.
[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] hela si umekimbi nazo jana.Kulikoni tena?huna hela ama?pole dogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] hela si umekimbi nazo jana.
Nimerudi furesh ilikuwa si shwari coz ya hiyo avatar iliyopita[emoji125] [emoji125] [emoji125]
We mrembo mbona uvai na nikabu
Heshima yako mkuu.
Habari zinakwendaje?
Mnunulie[emoji6][emoji6]We mrembo mbona uvai na nikabu
Kama mie vileHuyu Dada ni mpole sana
Kbsa mkuuRafiki kama unataka kufanikiwa lazima huwe na ujasiri. Bila kuwa jasiri, itakuwa ngmu sana kwako kufanikiwa. Tabia hii ya ujasiri inatakiwa sana katika safari yetu ya mafanikio. Tujifunze kwa watoto kuwa na ujasiri wa kujaribu hata kama jamii inatwambia haiwezekani.
Kbsa mremboKama mie vile
Nunua nitalipa[emoji6] [emoji6]Mnunulie[emoji6][emoji6]
Carba famous avatar is back. Wengine hatunaga avatar za kudumu hata sizikumbuki hahahahaMnunulie[emoji6][emoji6]
Na weekend ndio vile taratibu kabisaHeshima iwe nawe. Namshukuru Mungu kila kitu kiko poa Mkuu.
Ungekimbia??? [emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijua huna hela
Sema unataka nini?Kama mie vile
Nipo shoga. Mzima?Hivi upo?
Kwenye makaburi lazima niwe mpole kidogo. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dogo leo mbona mpole hivyo??[emoji15][emoji15]
Niko pouwa mkuu..Nipo ndugu yangu. Wikiendi inaendeleaje?
My Queen amefanyaje tenaWe ISIS wa nini?
Hatiye umekuja mrembo!Nipo shoga. Mzima?