Nipe moyo wakati wa kuzitumia ulikuwa mstari wa mbele[emoji23][emoji23]ila mdaiwa hafungwi dogo
Button mbili tuu za hatareee [emoji3][emoji3]Hiyo keyboard hatari
We ning'ate sikio usihofu nitatunza hiyo siriMimi?akhuuu
Sijafanya chochote
Nipo carba... Mambo vipi?Mbona umeadimika hivyo?
Mi nipo hapa nagonga likes; na kusema kweli sijui kama hizi likes zitanisaidia nini hapo kesho na kesho kutwa.Nikomee hapa kwa leo rafiki. Swali nalokuachikia: unafanya nini leo kwa ajili ya kesho yako?
“You will never change your life until you change something you do daily. The secret of your success is found in your daily routine”- John C. Maxwell.
“Hutabadilisha maisha yako mpaka ubadilishe mambo unayofanya leo. Siri ya mafanikio yako inapatikana kwenye kile kitu unachofanya kila siku”- John C. Maxwell.
Pamoja mkuu niajeSalaam wanauzi, habari za usiku wagonga likes wote