Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Acha tu hivyo vidole vyako ni kupuyanga smart nimesema kwa saut ya chiniMe napika insta dogo au umesahau[emoji53][emoji53]
Halafu usiseme kwa sauti
Acha tu hivyo vidole vyako ni kupuyanga smart nimesema kwa saut ya chiniMe napika insta dogo au umesahau[emoji53][emoji53]
Halafu usiseme kwa sauti
HahahahhaHahahaa polen
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unapigwa changa la macho kiaina na watu wako wa karbu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] utani tu mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Papaa KK [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona kuna watu hawapendi afukue makaburi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] amejipa kazi ya kupitia kaburi moja moja[emoji3]
Zimepigwa lock heri hata wewe uliweka ratiba[emoji6] [emoji6]Kwani piemu zimefunguliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu habari ya leoPamoja sana Kiongozi
Nilikuwa namkubali sanaTupac na ujanja wake wote kwa HAVOC alikuwa anatuliza Kipago.
HAVOC ni Mkali sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unapendaje mpira kuliko chakula bhana
DMXMC Hammer sina Data zake
OK nimekupataNaughty by Nature wapo.
Ingawa kila mmoja anafanya Shughuli zake binafsi, ila inapotokea Masuala ya Kimziki au Tamasha fulani huwa wanajumuika na kwenda Kutumbuiza.
Treach anajihusisha sana na Masuala ya Luninga.
Wasanii wa kitambo wengi wao wamekimbilia kwenye Luninga
Hata yeye simsikii kabisaKay Gee (DJ).
Treach (MC).
Vinnie (MC).
Queen Latifah ndie aliewatoa
Mi na wewe nani mwalimu tulikubaliana vizuri leo tena umetengua kauli[emoji6] [emoji6]We si umekataa kunifundisha,hutaki nitajirike dogo?roho mbaya hiyo ujue[emoji35][emoji35][emoji35]