Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Snake island
IndeedSalmon wanahangaika kurudi upstream walikozaliwa ili wakatage mayai kuendeleza kizazi kipya. Bears nao wanawategemea kwa mlo kabla majira ya baridi hayajaanza. Mzunguko wa maisha. Kutegemeana !!!
![]()