Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Grow slowly
Ni muroHivi Muro ni nani?
Sijambo.....sijui wewe?Jambo wewe
Ubaya/uzuri ni kwamba hatuna kipimo cha kupimia upumbavu. Nadhani kauli kama hizi zinatokana na mitazamo ya kisiasa. Siamini kama upumbavu (whatever that means) ni sifa mojawapo ya mtu kuteuliwa kuwa waziri....Kabisa mkuu lakini ni kweli mawaziri wetu wengi ni wapumbavu Nina mifano mingi sipendi kufika huko let's gets likes only here
Netiweki kali yaani 6G laivu.View attachment 604145
Hiyo text ukijibu Tu umekwisha