Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
...and vice versa...and vice versa....and versa.....Good is not bad
Kwenye uzuri ndimo mna ubaya ....
...and vice versa...and vice versa....and versa.....Good is not bad
Mkuu nimegoogle nimeonaSamahani kama imekutisha. Hawa jamaa ni katili sana. Wanayachoma mikuki na kuyawasha moto haya madume ya ng'ombe ili yawe na hasira zaidi na hatimaye kuyaua kwa mateso makubwa. Huyu metador alipopata hii zali watu wengi na hasa wapigania haki za wanyama walifurahi. Alipona japo alipoteza nusu ya ulimi na hawezi kuongea tena...Na aliritaya kabisa !!!
Mkuu niajeNimefurahi kukuona Mkuu.
Kwa kila postLikes
Bro Dunia ina mambo sijui jamaa ni ukame au anamuelewa Sana huyo mtu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Netiweki kali yaani 6G laivu.
You killin me bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]