Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

So sad! Mtu mpaka kufuli ina tobo, she is just trying to survive!
Na alichoiba nadhani ni maziwa ya mtoto. Sometimes ubinadamu na common sense tu vinaweza kutuheshimisha...

Kwema lakini. Unashabikia timu gani katika College Football? Kesho najua ni Big Ben and the Steelers na yule kocha wenu mwenye macho kama chura kabanwa na mlango.
 
Back
Top Bottom