Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Na wewe mkuu. Siku nyingine ukija huku na wewe kumbuka kutoa likes kwa wenzako kwanza. Siyo kuweka tu alfabeti a to z halafu unasepa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiku mwema na kazi njema
Yeah You know me?
QUEEN aliacha miondoko ya kufoka foka, akawa anaimba Kwaya.Hata yeye simsikii kabisa
Pamoja sana KiongoziOK nimekupata
DMX amevurugwa.