DMX amevurugwa.
Amekuwa Mtu wa Misala kwa sana.
Madawa kulevya kwa sana.
Kuna kipindi alizidiwa akazima ikafikia mpaka kupelekwa Hospitalini na kulazwa.
Kifupi DMX ni Mtu Mzima hovyo.
Kuna kipindi DMX alikuwa anacheza sana Filamu.
Nilikuwa nazifuatilia sana Filamu za DMX.
Kama kuna ile moja ambayo yuko na Steven Seagal ya kuitwa
EXIT WOUNDS.
Au kuna ile ambayo yuko na Mwanae Dragon (wa Ruff Ryders), Gabrielle Union (Demu huyu namkubali sana), Anthony Anderson, JET LI.
Kama hujawahi kuitazama ifanyie michakato.
Filamu yenyewe inaitwa
CRADLE TO THE GRAVE.
Hutojuta Kiongozi