Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

b96dc4d4447b755e119733763c0eac82--turban-style-hijab-turban-outfit.jpg
ó
 
Ni ukweli usiopingika kwamba ili utoke chini na kufikia mafanikio yako makubwa lazima kuna changamoto uzivuke. Mafanikio yanapimwa na uwezo wako wa kutatua changamoto. Kadri unavyotatua changamoto unazopitia ndivyo unavyozidi kupiga hatua kuelekea mafanikio makubwa.
 
Leo nataka kukushirikisha njia mbili muhimu zitakazokusaidia kutatua changamoto yoyote unayopitia.

Njia ya kwanza: Ushauri kutoka kwa watu unaowaamini

Ukweli ni kwamba changamoto yoyote unayopitia kuna watu waliokutangulia walishaipitia. Hakuna changamoto ya mafanikio ambayo ni mpya.
 
Njia ya pili: Kusoma vitabu

Kuna maarifa mengi yamefichwa kwenye vitabu. Kama usomi vitabu kuna vitu vingi sana unakosa. Moja ya kitu ambacho utakipata kwenye vitabu ni mbinu za kutatua changamoto.
 
Kama nilivyosema hakuna changamoto mpya duniani. Changamoto nyingi unazopitia, mbinu za kuzitatua ziko kwenye vitabu.Kama umekuwa hauna tabia ya kusoma vitabu, anza kusoma vitabu leo, angalau hata kitabu kimoja kwa mwezi.
 
Watu wengi wanasema watanzania wengi ni wavivu wa kusoma vitabu. Wewe jitoe kwenye hilo kundi la wengi. Jitofautishe kwa kusoma vitabu na utapata mbinu nyingi za kutatua changamoto unazopitia.
 
Maisha yana kupanda na kushuka, kwa kingereza wanasema ups and downs. Kuna kipindi kwenye mafanikio unapitia changamoto ngumu sana ambazo usipokuwa makini unaweza kukata tamaa.
Kuna kipindi kwenye maisha tunaona kama hatuendi mbele kila kitu tunachofanya tunaona kama hatufanikiwi, kwa sababu ya changamoto tunazikutana nazo.
 
Back
Top Bottom