Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kumbuka umechukua miaka mingapi kuwa hivyo ulivyo? Si chini ya miaka mitano, au sio? Sasa kwa nini unataka kubadilika au kupata majibu ndani ya muda mchache? Kwa nini unataka uanze kufanya leo, kesho upate majibu? Itakuchukua muda rafiki.