Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mask offKila mtu na mtu wake
Mask offKila mtu na mtu wake
Mkuu habari za jumapiliBarikiwa
AMUN RA09:27
Gr8 kwa kweli in my lovely Queen voice[emoji23] [emoji23] [emoji23]Fuleshiii kabisa,sijui kwako
Na kwako pia mkuuJumapili njema kwa wote
Habari za Jumapili numbisaKama una uwakika na jambo unalofanya litakufikisha kwenye kitu unachotaka au ndio dhumuni lako, kuna mambo mawili ambayo unatakiwa kuyajua ili magumu au changamoto zinapokuja, uweze kuendelea mbele.
Udumu mileleUpendo kwa woote
Ukisikia hivyo mtu ashatendwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Moyo sukuma damu si vingine...
Aminia mkuuU=umoja
Z=zaidi ya
I =imani
Lameck ditoMoyo sukuma damu si vingine [emoji443][emoji443][emoji443]