Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

BZ7NZQLgR_D.jpg
 
Mwanadamu ni kiumbe mtata mno. Imagine sasa kajirundikia masilaha ambayo kimsingi yanaweza kumwangamiza na kumtowesha kabisa katika kasayari haka kazuri alikopewa na Muumba. Ajabu ni kwamba hana pengine pa kukimbilia. Let that sink in for a second my friend......
Kila nikiangalia masilaha aliyonayo American Na anatengeneza mengine kila Siku hatari sana
 
Back
Top Bottom