Cc carbamazepineAmekula like hadi kasahau daku
The bold bado hajaachiwa?Like yangu imekupa jibu
Hahahahaha good afternoon my dearHahahaaa 😀😀
HahahahahaUmeona, huyu kijana hawezi kuishi na mlimbwende wakati hata ng'ombe hataki kulipa[emoji3] [emoji3] [emoji3] ikibidi mshughulikie ili amurudishe dadako.
😀😀Dogo katoka class
Dogo: baba eti Kampala iko wapi?
Dingi: angalia vizuri chini ya kabati maana mama yako kwa kuficha vitu hajambo
Dogo yupo duka la madawa sasa hivi [emoji16][emoji16][emoji16]
HahahahahaNimebaini Andjul anatumia nguvu za Giza, nitakula sahani moja na mpare
AMUN RAHuwa najiuliza kwa nini Mungu ilimpendeza nikazaliwa kwenye Ardhi ya Tanzani..!
Nikisema nalala ni kweli nalala.......
Nikisema nikatembelee ndugu zangu ni kwa ujasiri wote......
Nikisema nikasali, nasali bila chembe ya woga....
Nikisema nikafanye kazi, mpaka shati naeza vua..!
Nikissema nikasema nikatanue, hofu sina hata chembe.....!
Nakadhalikaaaaaaaaaaaaaaaaaa............ wakuu mtamalizia...........!
Ni kwa sababu ya amani tuliyokilimiwa na Mwenyezi Mungu, So guys tuwe wenye kushukuru kwa bahati hii ya upendeleo....! Na chembe zote za kutaka kuondosha hii tunu tuzipinge bila kusahau kumsihi Mungu atuepushe........!
Hahahahaha hatari sana endelea kufukua mamaNitarud Niko page ya 183 Nyiee zikeni Mm nafukua makaburi 😀
Hahahahaha mkuu niajeNimewamwagia wote!!!! I mean likes
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na kweli unayafukua duh!
Ukiyafukua jitahidi kutupiapo kaneno kako - hata kama ni kutukumbusha marehemu aliumwa nini au jinsi alivyofariki. Inatosha!!!