Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
The harder you work for something, the greater you'll feel when you achieve it.
Wacha waende tuMpaka sasa watu zaidi ya 2,000 wameshajiandikisha. Hali ya huko haina ihakika kwa sababu hakuna maji wala Oksijeni. Ni kila mtu kupambana na hali yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Unamkojo wa kupimwa?mana siku hizi umekuwa mchochezi[emoji23][emoji23][emoji23]
hatujambo[emoji120][emoji120]Watu wa likes hamjambo? Jumamosi inaendeleaje? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mzee wa ini habari ya weweAMUN RA
Nzuri mkuuNzuri kamanda. Nakuona unafanya yako. Dom/UK/Masaki kwema?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha, mpare kakimbia[emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Waliofanya Jaribio jana la Maarifa ya Jamii, hilo swali nitawapa marks bureIkitokea ukaulizwa waziri wa elimu ni nani lazima wanafunzi wafeli maana kila uchwao wanakuja wapya[emoji57][emoji57][emoji57]