Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huwa sipendi hii kitu basi tu !!!
cf7be9df7879727fdcbe43023e6507df.jpg
 
Mwenyezi mungu anasema unakojipeleka ndiko anakokuongoza, pamoja na baraka za mola wetu, sifa pia kwa viongozi wliotuongoza njia ambayo mola wetu ametuongozea. Jitihada za wale wenye nia ya kuvunja umoja wetu kwa kukazana kurudi kwenye ukanda, ukabila na udini zishindwe
Maneno mazuri yaliyojaa kila chembe ya uzalendo na upendo juu ya nchi yetu...!
Tusiruhusu maslahi binafsi yatutenganishe..!
 
They may have a point there...

Women also are unlikely to steal...and become mafisadi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona kama tunauundiwa sababu za kunyimwa baadhi ya haki...?

Nikajiuliza hivi waanaume wa china wanasoma uhasibu kweli kwa hali hii...?

Na hili la kuendasha gari itafika mahali tutaanza kunyimwa leseni...!

Utapewajwe leseni kama hauko makini,,??
 
Back
Top Bottom