Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unakumbuka ile sitiari ya swimming pool? Ogelea kwa sasa. Furahia. Nami wakati wangu wa kuogelea utafika. Nitafurahia pia....and guess what? Iveni yua fyucha waifu sasa hivi kuna mtu anaogelea. Na wakati wako ukifika wa kuogelea utaogelea na bila shaka utafurahia...and so it goes. Kwema lakini dogo?

Hahaa, I hate this! Watu mnachangia tuu bwawa mwishowe mtu unatoka na ruba, yuck! Ngoja tu niwe Mseminari! Kwema. [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom