Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Nenda nitakwambia aliyechukua miwani na kuvunja jicho moja[emoji6]Chitaki tena[emoji20][emoji20]
Nenda nitakwambia aliyechukua miwani na kuvunja jicho moja[emoji6]Chitaki tena[emoji20][emoji20]
MarsWe nae, kwani Waseminari wanatoka sayari gani! [emoji57][emoji57]
Naona unavyoangaika kugoogle ila ukifika jikoni ndio vile unapuyanga japo umedesa mapishiDogo me napika kwa smati foni[emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa ni wewe tu,maana.....Sio imeibiwa ila umesahau nani alichukua mara ya mwisho[emoji6] [emoji6] [emoji6]
Shakespeare daahThere is no darkness but ignorance.
-William Shakespeare
Nakaribia kukugawa ujue[emoji23][emoji23][emoji23]Teh teh teh huwa unajaa wenyewe najikuta nipo ktkt ya story ndio nashtuka nadanganya[emoji6] [emoji6] [emoji6]